Neh. 3:21 SUV

21 Baada yake akafanyiza Meremothi, mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, sehemu nyingine, toka mlango wa nyumba ya Eliashibu mpaka mwisho wa nyumba ya Eliashibu.

Kusoma sura kamili Neh. 3

Mtazamo Neh. 3:21 katika mazingira