Neh. 4:17 SUV

17 Watu wale walioujenga ukuta, na wale waliochukua mizigo, walijitweka wenyewe, kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono wake wa pili alishika silaha yake;

Kusoma sura kamili Neh. 4

Mtazamo Neh. 4:17 katika mazingira