Neh. 4:18 SUV

18 nao wajenzi, kila mtu alikuwa na upanga wake, umefungwa ubavuni mwake, ndivyo alivyojenga. Na yeye aliyepiga baragumu alikuwa karibu na mimi.

Kusoma sura kamili Neh. 4

Mtazamo Neh. 4:18 katika mazingira