Neh. 4:19 SUV

19 Nikawaambia wakuu, na mashehe na watu wengine; Kazi hii ni nyingi, tena kubwa, nasi tumetawanyika juu ya ukuta, kila mtu mbali na mwenzake;

Kusoma sura kamili Neh. 4

Mtazamo Neh. 4:19 katika mazingira