Neh. 5:11 SUV

11 Naomba, warudishieni leo hivi mashamba yao, na mashamba yao ya mizabibu, na mashamba yao ya mizeituni, na nyumba zao, na lile fungu la mia la fedha, na la ngano, na la divai, na la mafuta, mnalowatoza.

Kusoma sura kamili Neh. 5

Mtazamo Neh. 5:11 katika mazingira