Neh. 5:12 SUV

12 Ndipo wakasema, Tutawarudishia, wala hatutataka kitu kwao; tutafanya hivyo, kama ulivyosema. Kisha nikawaita makuhani, nikawaapisha, ya kwamba watafanya kama ahadi hiyo.

Kusoma sura kamili Neh. 5

Mtazamo Neh. 5:12 katika mazingira