Neh. 6:3 SUV

3 Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, hata nisiweze kushuka; mbona kazi ikome, hapo ninapoiacha, niwashukie?

Kusoma sura kamili Neh. 6

Mtazamo Neh. 6:3 katika mazingira