Neh. 6:6 SUV

6 nayo yakaandikwa humo, Habari imeenea katika mataifa, naye Geshemu asema neno lilo hilo, ya kwamba wewe na Wayahudi mwakusudi kuasi; ndiyo sababu waujenga huo ukuta; nawe wataka kuwamiliki, ndivyo wasemavyo.

Kusoma sura kamili Neh. 6

Mtazamo Neh. 6:6 katika mazingira