Neh. 6:7 SUV

7 Nawe umewaweka manabii ili wakuhubirie huko Yerusalemu, kusema, Yuko mfalme katika Yuda; basi sasa ataarifiwa mfalme sawasawa na maneno haya. Njoo sasa basi, na tufanye shauri pamoja.

Kusoma sura kamili Neh. 6

Mtazamo Neh. 6:7 katika mazingira