Neh. 7:7 SUV

7 ndio hawa waliokuja pamoja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu, na Baana. Hii ndiyo hesabu ya wanaume wa watu wa Israeli;

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:7 katika mazingira