Neh. 7:6 SUV

6 Hawa ndio wana wa wilaya, waliokwea kutoka katika ule uhamisho wa hao waliokuwa wamechukuliwa, ambao Nebukadreza, mfalme wa Babeli, aliwachukua mateka, nao wakarudi Yerusalemu na Yuda, kila mtu mjini kwake;

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:6 katika mazingira