Neh. 7:73 SUV

73 Hivyo makuhani, na Walawi, na mabawabu, na waimbaji, na baadhi ya watu, na Wanethini, na Israeli wote, wakakaa mijini mwao.Hata ulipowadia mwezi wa saba, wana wa Islaeli walikuwa wakikaa katika miji yao.

Kusoma sura kamili Neh. 7

Mtazamo Neh. 7:73 katika mazingira