Neh. 8:1 SUV

1 Na watu wote wakakusanyika kama mtu mmoja katika uwanja uliokuwa mbele ya lango la maji; wakamwambia Ezra, mwandishi, akilete kitabu cha torati ya Musa, BWANA aliyowaamuru Israeli.

Kusoma sura kamili Neh. 8

Mtazamo Neh. 8:1 katika mazingira