2 Naye Ezra, kuhani, akaileta torati mbele ya kusanyiko, la wanaume na wanawake, na wote walioweza kusikia na kufahamu, siku ya kwanza na mwezi wa saba.
Kusoma sura kamili Neh. 8
Mtazamo Neh. 8:2 katika mazingira