Neh. 8:3 SUV

3 Akasoma humo mbele ya uwanja uliokuwa ukikabili lango la maji, tangu mapambazuko hata adhuhuri, mbele ya hao wanaume na wanawake, na wale walioweza kufahamu; na masikio ya watu wote yakasikiliza kitabu cha torati.

Kusoma sura kamili Neh. 8

Mtazamo Neh. 8:3 katika mazingira