Neh. 9:1 SUV

1 Hata siku ya ishirini na nne ya mwezi huo wana wa Israeli wakawa wamekusanyika, wakifunga, wenye kuvaa magunia, na kujitia udongo vichwani.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:1 katika mazingira