Neh. 9:21 SUV

21 Naam, muda wa miaka arobaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:21 katika mazingira