Neh. 9:22 SUV

22 Pamoja na hayo ukawapa falme na taifa za watu, ulizowagawia sawasawa na mafungu yao; hivyo wakaimiliki nchi ya Sihoni, naam, nchi yake mfalme wa Heshboni, na nchi ya Ogu, mfalme wa Bashani.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:22 katika mazingira