Neh. 9:23 SUV

23 Watoto wao nao uliwaongeza kama nyota za mbinguni, ukawaingiza katika nchi ile, uliyowaambia baba zao kuwa wataingia kuimiliki.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:23 katika mazingira