Neh. 9:24 SUV

24 Basi wale watoto wakaingia wakaimiliki nchi, nawe ukawatiisha wenyeji wa nchi mbele yao, ndio Wakanaani, ukawatia mikononi mwao, pamoja na wafalme wao, na watu wa nchi, wawatende kama wapendavyo.

Kusoma sura kamili Neh. 9

Mtazamo Neh. 9:24 katika mazingira