3 Basi wakasimama mahali pao, wakasoma katika kitabu cha torati ya BWANA, Mungu wao, muda wa robo ya siku; na robo nyingine wakaungama, wakamwabudu BWANA, Mungu wao.
Kusoma sura kamili Neh. 9
Mtazamo Neh. 9:3 katika mazingira