4 Ndipo wakasimama madarajani pa Walawi, Yeshua, na Bani, na Kadmieli, na Shebania, na Buni, na Sherebia, na Bani, na Kenani, wakamlilia BWANA, Mungu wao, kwa sauti kuu.
Kusoma sura kamili Neh. 9
Mtazamo Neh. 9:4 katika mazingira