Oba. 1:5 SUV

5 Kama wevi wangekujilia, kama wanyang’anyi wangekujilia usiku, (jinsi ulivyokatiliwa mbali!) Je! Wasingeiba kiasi cha kuwatosha? Kama wachumao zabibu wangekujilia, je! Wasingeacha baadhi ya zabibu, ziokotwe?

Kusoma sura kamili Oba. 1

Mtazamo Oba. 1:5 katika mazingira