Rut. 1:12 SUV

12 Enyi wanangu, mrejee; nendeni zenu; kwa kuwa mimi ni mzee, siwezi kupata mume tena. Kama ningesema, Natumaini; kama ningepata mume hata usiku huu, na kuzaa watoto wa kiume;

Kusoma sura kamili Rut. 1

Mtazamo Rut. 1:12 katika mazingira