Rut. 1:13 SUV

13 je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa BWANA umetoka juu yangu.

Kusoma sura kamili Rut. 1

Mtazamo Rut. 1:13 katika mazingira