Rut. 2:17 SUV

17 Basi Ruthu akaokota masazo kondeni hata jioni; kisha akazipura zile nafaka alizoziokota, zikawa yapata efa moja ya shayiri.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:17 katika mazingira