Rut. 2:18 SUV

18 Akajitwika, akaenda zake mjini. Akamwonyesha mkwewe zile alizoziokota; akavitoa vile vyakula alivyovisaza alipokwisha kushiba, akampa.

Kusoma sura kamili Rut. 2

Mtazamo Rut. 2:18 katika mazingira