Rut. 3:10 SUV

10 Akamwambia, Mwanangu, ubarikiwe na BWANA; umezidi kuonyesha fadhili zako mwisho kuliko mwanzo, kwa vile usivyowafuata vijana, kama ni maskini kama ni matajiri.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:10 katika mazingira