Rut. 3:9 SUV

9 Akasema, Ama! Ni nani wewe? Akamjibu, Ni mimi, Ruthu, mjakazi wako; uitande nguo yako juu ya mjakazi wako; kwa kuwa ndiwe wa jamaa aliye karibu.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:9 katika mazingira