Rut. 3:13 SUV

13 Wewe ungoje usiku huu; kisha, asubuhi, kama akikubali kukufanyia impasavyo jamaa, haya, na akufanyie; lakini ikiwa hataki yeye, basi mimi nitakufanyia impasavyo jamaa; BWANA aishivyo. Ulale wewe hata asubuhi.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:13 katika mazingira