Rut. 3:14 SUV

14 Hivyo huyo mwanamke akalala miguuni pake hata asubuhi; akaondoka mapema asijaweza mtu kumtambua mwenziwe; maana Boazi amesema, Isijulikane kabisa ya kuwa mwanamke alifika penye uga.

Kusoma sura kamili Rut. 3

Mtazamo Rut. 3:14 katika mazingira