Rut. 4:17 SUV

17 Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi; yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Kusoma sura kamili Rut. 4

Mtazamo Rut. 4:17 katika mazingira