11 Haya! Lieni, ninyi mkaao katika Makteshi, maana wafanya biashara wote wameangamia; hao wote waliokuwa na mizigo ya fedha wamekatiliwa mbali.
Kusoma sura kamili Sef. 1
Mtazamo Sef. 1:11 katika mazingira