Sef. 1:13 SUV

13 Na huko utajiri wao utakuwa mateka, na nyumba zao zitakuwa ukiwa; naam, watajenga nyumba, lakini hawatakaa ndani yake; nao watapanda mizabibu, lakini hawatakunywa divai yake.

Kusoma sura kamili Sef. 1

Mtazamo Sef. 1:13 katika mazingira