Sef. 1:3 SUV

3 Nitamkomesha mwanadamu na mnyama; nitakomesha ndege wa angani, na samaki wa baharini, na hayo makwazo pamoja na wabaya; nami nitamkatilia mbali mwanadamu, asionekane juu ya uso wa nchi, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Sef. 1

Mtazamo Sef. 1:3 katika mazingira