Sef. 1:5 SUV

5 na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya dari za nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa BWANA na kuapa pia kwa Malkamu;

Kusoma sura kamili Sef. 1

Mtazamo Sef. 1:5 katika mazingira