Sef. 2:3 SUV

3 Mtafuteni BWANA, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya hasira ya BWANA.

Kusoma sura kamili Sef. 2

Mtazamo Sef. 2:3 katika mazingira