Sef. 2:4 SUV

4 Kwa kuwa Gaza utaachwa, na Ashkeloni utakuwa ukiwa; wataufukuzia mbali Ashdodi wakati wa adhuhuri, na Ekroni utang’olewa. Amo 1:6-8; Zek 9:5-7

Kusoma sura kamili Sef. 2

Mtazamo Sef. 2:4 katika mazingira