4 Nivute nyuma yako, na tukimbie;Mfalme ameniingiza vyumbani mwake.Tutafurahi na kukushangilia;Tutazinena pambaja zako kuliko divai;Ndiyo, ina haki wakupende.
Kusoma sura kamili Wim. 1
Mtazamo Wim. 1:4 katika mazingira