Wim. 4:1 SUV

1 Tazama, u mzuri, mpenzi wangu,U mzuri, macho yako ni kama ya hua,Nyuma ya barakoa yako.Nywele zako ni kama kundi la mbuzi,Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.

Kusoma sura kamili Wim. 4

Mtazamo Wim. 4:1 katika mazingira