Wim. 4:11 SUV

11 Bibi arusi, midomo yako yadondoza asali,Asali na maziwa vi chini ya ulimi wako;Na harufu ya mavazi yakoNi kama harufu ya Lebanoni.

Kusoma sura kamili Wim. 4

Mtazamo Wim. 4:11 katika mazingira