Wim. 5:13 SUV

13 Mashavu yake ni kama matuta ya rihani,Ambayo hufanyizwa manukato;Midomo yake ni kama nyinyoro,Inadondoza matone ya manemane;

Kusoma sura kamili Wim. 5

Mtazamo Wim. 5:13 katika mazingira