11 Nalishukia bustani ya milozi,Ili kuyatazama machipuko ya bondeni;Nione kama mzabibu umechanua,Kama mikomamanga imetoa maua.
Kusoma sura kamili Wim. 6
Mtazamo Wim. 6:11 katika mazingira