Yoe. 1:11 SUV

11 Tahayarini, enyi wakulima;Pigeni yowe, enyi watunzaji wa mizabibu;Kwa ajili ya ngano na shayiri,Maana mavuno ya mashamba yamepotea.

Kusoma sura kamili Yoe. 1

Mtazamo Yoe. 1:11 katika mazingira