5 Kama mshindo wa magari ya vita juu ya vilele vya milima, ndivyo warukavyo; kama mshindo wa miali ya moto ilapo mabua makavu, kama mashujaa waliopangwa tayari kwa vita.
Kusoma sura kamili Yoe. 2
Mtazamo Yoe. 2:5 katika mazingira