Yoe. 3:16 SUV

16 Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:16 katika mazingira