Yoe. 3:17 SUV

17 Hivyo ndivyo mtakavyojua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, nikaaye Sayuni, mlima wangu mtakatifu; ndipo Yerusalemu utakapokuwa mtakatifu, wala wageni hawatapita tena ndani yake kamwe.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:17 katika mazingira