Yoe. 3:18 SUV

18 Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya BWANA, na kulinywesha bonde la Shitimu.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:18 katika mazingira