Yoe. 3:8 SUV

8 Na mimi nitawauza wana wenu na binti zenu, na kuwatia katika mikono ya wana wa Yuda, nao watawauzia watu wa Sheba, taifa lililo mbali kabisa; kwa maana BWANA ndiye aliyesema neno hili.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:8 katika mazingira