Yoe. 3:9 SUV

9 Tangazeni haya kati ya mataifa; takaseni vita; waamsheni mashujaa; watu wa vita na wakaribie; na wapande juu.

Kusoma sura kamili Yoe. 3

Mtazamo Yoe. 3:9 katika mazingira